Blog hii inahusiana  kutoa ushauri pamoja na kufahamisha watu juu ya faida mbalimbali zitokanazo na mimea tiba, katika kutibu magojwa  wanayopata binadam pamoja na mifugo.


Blog hii pia inakuwezesha kuweka oda za dawa zitokanazo na mimea asilia. Unaweza kutupigia simu au kutuma ujumbe kupitia mawasiliano yetu.