Tafti zinaonyesha kuwa mkunde kunde au mkunde pori ndio dawa bora ya_ *kuzibua mirija ya uzazi kwa wanawake. *kutibu chango la uzazi kwa wanawake. *kutibu maumivu yote ya tumbo. *kufunga na kufunga kwa wenye matatizo ya hedhi. *kushindwa kushika mimba. (Ujauzito) *kutibu ngiri kwa wanaume. *maumivu ya KIUNGO na mgongo. Matumizi unaweza kutumia unga wa mizizi ya mkunde pori kijiko 1x2 kwa siku unaweka kwenye uji kikombe 1 kwa muda wa siku 5 hadi 7 Au unaweza kuchemsha mizizi ya mkunde pori ukanywa nusu glas 1x2 kwa muda siku 5 hadi 10 Kuhusu tatizo la kutopata ujauzto chemsha majani yake lobo kg kwenye maji Lita 2 inabidi ichemke vizuri itakauka itabaki Lita moja na nusu matumizi tumia ikiwa na uvugu vugu nusu glas x2 kwa muda wa siku kumi hadi 15 Bila shaka watu wengi mnaujua mkunde mkunde. Kama unaujua basi kaufanyie kazi